🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 15-05-2019 09:00:03am Bongo5
Watayarishaji wa muziki hapa nchini wamekuwa wakilalamika kutopata wanachostahili kutoka kwenye kazi za muziki wanazo zitengeneza na badala yake wasanii ndio wanaonufaika zaidi, kwa hivi sasa hali imeanza kubadilika kutokana na watayarishaji kuanza kuona mafamanikio kufuatia malipo wanayoyapata kutoka kwa wasanii hao. Hivi karibuni mtayarishaji S2kizzy alipewa zawadi ya gari kwenye siku yake ya kuzaliwa …The post Nilimpigia simu S2kizzy baada ya kusikia amezawadiwa gari na Rayvanny – Mr T Touchez appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E