Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

‘Neymar Judgement Day’: Rais wa Barcelona, wajumbe wa bodi kumfuata Neymar na mkwanja mkononi + Dembele 

Tuesday 27-08-2019 09:00:03pm Bongo5


Wajumbe wa bodi ya Barcelona kwa mara nyingine tena wanasafiri kwenda Paris kujaribu kukamilisha dili ama mpango wa kumrudisha Neymar huko Nou Camp. Rais wa klabu ya Barcelona, Josep Bartomeu pamoja na mkurugenzi wake, Eric Abidal wamesafiri kueleke makao makuu ya klabu ya Paris Saint-Germain hii leo siku ya Jumanne. Miamba hiyo ya La Liga wanapambana …The post ‘Neymar Judgement Day’: Rais wa Barcelona, wajumbe wa bodi kumfuata Neymar na mkwanja mkononi + Dembele  appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E