Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

NEC watangaza tarehe ya uchaguzi wa jimbo la Singida Mashariki lililoachwa wazi na Tundu Lissu

Friday 05-07-2019 09:00:04pm Bongo5


Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) leo Ijumaa Julai 05, 2019 imetangaza tarehe ya zoezi la uchaguzi wa ubunge wa jimbo la Singida Mashariki ili kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Tundu Lissu ambaye alipoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge wa Bunge la Tanzania. Taarifa hiyo iliyotolewa na Mwenyekiti …The post NEC watangaza tarehe ya uchaguzi wa jimbo la Singida Mashariki lililoachwa wazi na Tundu Lissu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E