Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Ndoa za utotoni bado janga duniani, Familia yamuozesha binti wa miaka 10 kwa Tsh Mil. 8

Monday 29-04-2019 09:00:04am Bongo5


Familia moja nchini Afghanistan imelazimika kumuozesha binti yao wa miaka 10 kwa dola $3,500 sawa na Tsh. Milioni 8 ili kusaidia matibabu ya kaka yake anayeugua maradhi ya kifafa. Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mail, imeelezwa kuwa binti huyo aitwaye Nazanin alichumbiwa akiwa na miaka mitano iliyopita na alipofikisha mika 10 alikua mke wa …The post Ndoa za utotoni bado janga duniani, Familia yamuozesha binti wa miaka 10 kwa Tsh Mil. 8 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E