Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Ndege yaupita uwanja baada ya Rubani kushikwa na usingizi

Tuesday 27-11-2018 09:00:02pm Bongo5


Ndege ndogo ilipita uwanja iliostahili kutua nchini Australia kwa karibu kilomita 50 baada ya rubani kushikwa na usingizi, kwa mujibu wa maafisa wa usalama wa angani. Rubani alikuwa peke yake kwenye ndege hiyo iliyokuwa ikitoka Devonport kwenda King Island huko Tasmania tarehe 8 Novemba. Kwa mujibu wa BBC, Kisa hicho kwa sasa kinachunguwa na mamlaka …The post Ndege yaupita uwanja baada ya Rubani kushikwa na usingizi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E