Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Nchi 70 zaitaka Korea Kaskazini kuwachana na nyuklia, saini ya Urusi na China zakosekana

Saturday 11-05-2019 09:00:03pm Bongo5


Jumla ya nchi 70 zimeitaka Korea Kaskazini kuachana na mipango yake wa silaha za nyuklia, makombora ya masafa marefu na mipango mingine inayohusiana na shughuli hizo, zikilalamikia kitisho kisichokuwa na kikomo kwa amani ya dunia. Kwa mujibu wa shirika la habari la nchini Ujerum,ani, Deutsche Welle Nchi zilizotia saini tamko hilo ni pamoja na Marekani, …The post Nchi 70 zaitaka Korea Kaskazini kuwachana na nyuklia, saini ya Urusi na China zakosekana appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E