🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 21-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Arsenal, Mzee Arsene Wenger anatarajiwa kuzuru nchini Liberia Ijumaa hii ya Agosti 24, 2018 katika hafla ya kukabidhiwa tuzo ya heshima. Rais wa Liberia, George Weah ambaye Mzee Wenger ndiye kocha wake wa zamani, atamtunuku mzee Wenger tuzo hiyo ya heshima ambayo inatajwa kuwa na hadhi kubwa nchini humo. …The post Mzee Wenger kutunukiwa tuzo ya heshima Liberia, Wanasiasa wapingana vikali na Rais George Wear appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E