Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mwenyekiti huyu wa CCM afikishwa mahakamani na Takukuru kwa kuomba rushwa

Tuesday 06-08-2019 09:00:06am Bongo5


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilaya ya Liwale, Mkoani Lindi, imemfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Likongowele, Mohamedi Ndope akidaiwa kuomba na kupokea rushwa ya Sh. laki 3. Akimsomea shitaka lake Mwanasheria wa TAKUKURU mkoani Lindi, ameeleza mshitakiwa alikamatwa eneo la Nangando, Liwale Mjini, Julai 28, 2019 majira …The post Mwenyekiti huyu wa CCM afikishwa mahakamani na Takukuru kwa kuomba rushwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E