🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 20-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Ikulu ya Marekani imerejesha vibali vya mwandishi wa habari wa shirika la CNN chini ya wiki mbili baada ya kufuta vibali hivyo kufuatia majibizano na Rais Donald Trump wakati wa mkutano na waandihi wa habari. Hii ni siku kadhaa baada ya jaji kuamrisha uongozi wa Trump kumrejeshea mwandishi huyo kibali hicho. Kwa mujibu wa BBC, …The post Mwandishi wa habari aliyejibizana na Donald Trump Ikulu, arejeshewa kibali chake kilichofutwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E