đź””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 16-09-2018 09:00:02am Bongo5
Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa msamaha kwa mwanamuziki maarufu nchini humo, Kizito Mihigo na kiongozi wa upinzani, Victoire Ingabire Umuhoza waliokuwa wamefungwa gerezani tangu mwaka 2013 na 2015. Tamko la serikali lililotolewa Ijumaa jioni limeeleza kuwa Mkutano wa Baraza la Mawaziri ulioendeshwa na Rais Kagame jana Jumamosi, umepitisha kuachiwa kwa wafungwa 2,140 waliokuwa wanastahiki …The post Mwanamuziki maarufu nchini Rwanda aliyewahi kupanga njama ya kumuua Rais Kagame, atoka gerezani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E