Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mwanamitindo adondoka jukwaani na kufariki akiwa kwenye onyesho (Video)

Monday 29-04-2019 09:00:03pm Bongo5


Mwanamitindo wa kiume, Tales Soares (26) amefariki dunia baada ya kuanguka jukwaani wakati akitembea kwa mwendo wa maringo (catwalk) alipokuwa akishiriki kwenye wiki ya mitindo mjini São Paulo, nchini Brazil. Soares alipoanguka, watazamaji walidhani ni sehemu ya onesho lake. Mwanamitindo huyo alipatiwa huduma ya kwanza na kufaliki muda mfupi baadae wakati akipelekwa hospitali. Kampuni ambayo …The post Mwanamitindo adondoka jukwaani na kufariki akiwa kwenye onyesho (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E