🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 08-08-2018 09:00:02am Bongo5
Jeshi la Polisi jijini Dodoma linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari ya Itega, Mohamed Ramadhani (18) kwa tuhuma za kujihusisha na uhalifu ikiwa ni pamoja na kumkaba mama yake mzazi. Mwanafunzi huyo anatuhumiwa kujiunga na kikundi cha uhalifu cha Kamchape ambacho kinajihusisha na ukabaji na uvunjaji katika maeneo mbalimbali ya jiji …The post Mwanafunzi anaswa na polisi baada ya kumkaba mama yake mzazi na kumpora appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E