🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 07-09-2019 09:00:03pm Bongo5
Bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za mia 800 Caster Semenya amejiunga na timu ya soka ya wanawake nchini Afrika Kusini. Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 28 hawezi kushiriki katika mbio za mita 800 bila kutumia dawa za kupunguza homoni za kiume mwilini mwake sheria mpya ilioidhinishwa na shirika la riadha duniani IAAF. …The post Mwanadada Semanya anayeandamwa na tuhuma za kuwa na jinsia ya kiume, ajiunga na timu ya mpira wa miguu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E