🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 24-09-2018 09:00:02am Bongo5
Mtangazaji maarufu zaidi nchini Uingereza, Piers Morgan ametumia kiswahili kupokea pongezi kutoka kwa shabiki yake aliyevutiwa na utangazaji wake. Morgan ambaye anatangaza kipindi pendwa nchini Uingereza cha Good Morning Britain kinachorushwa na ITV, amemshukuru shabiki huyo kwa kumwambia ‘Asante Sana’. Hata hivyo, baadhi ya watu waliotoa maoni juu ya Tweet hiyo ya kiswahili wanaonekana kutoelewa …The post Mtangazaji maarufu wa TV nchini Uingereza, atumia kiswahili kumjibu shabiki yake mtandaoni appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E