Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Msuva ajifunga KMC FC kwa miaka miwili, kuitumikia miamba hiyo ya soka ya Kinondoni hadi 2021

Monday 24-06-2019 09:00:03pm Bongo5


Timu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC imefanikiwa kumuongezea mkataba mshambuliaji wake, James Msuva ambapo sasa ataendelea kuwatumikia waajiri wake hao hadi mwaka 2021. James Msuva ni mdogo wake na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na Klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva ambaye alijiunga na Waarabu hao Julai 29, …The post Msuva ajifunga KMC FC kwa miaka miwili, kuitumikia miamba hiyo ya soka ya Kinondoni hadi 2021 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E