Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

MSIBA WA RUGE: Nay wa Mitego amshushia ujumbe mzito Diamond ‘ametutoa mbali, i wish ningemuona’ (+video)

Friday 01-03-2019 09:00:02am Bongo5


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunguka kuwa angefurahi kumuona msanii mwenzake, Diamond Platnumz akihudhuria mazishi ya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Groups, Ruge Mutahaba. Akiongea na Bongo5, Nay wa Mitego amesema kuwa angefurahi kumuona Diamond anahudhuria kwenye msiba huo, kwani Ruge ni mtu ambaye wote wawili amewasaidia sana …The post MSIBA WA RUGE: Nay wa Mitego amshushia ujumbe mzito Diamond ‘ametutoa mbali, i wish ningemuona’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E