🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 21-02-2019 09:00:03am Bongo5
Ripoti zinasema kuwa mama aliyejifungua ambaye ni mpenzi wa Waziri Mkuu wa Serbia, Bi Brnabic, anayefahamika kama Milica Djurdjic pamoja na mtoto aliyepewa jina la Igor wote wana afya nzuri. Bi Brnabic mwenye umri wa miaka 43 amekuwa ni mwanamke wa kwanza ambaye anajihusisha katika mapenzi ya jinsia moja kuwa waziri mkuu mwaka 2017 mwezi …The post Mpenzi wa jinsia moja wa Waziri Mkuu wa Serbia amejifungua mtoto wa kiume appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E