🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 03-12-2018 09:00:02pm Bongo5
Jose Mourinho amemshutumu Paul Pogba na kusema ni kirusi kinachochafua hali ya hewa kwenye kikosi chake cha Manchester United, baada ya sare ya 2-2 dhidi ya Southampton kwenye Ligi Kuu England juzi Jumamosi. Mourinho amemshambulia Pogba kwa maneno makali mbele ya wachezaji wenzake kwenye vyumba vya kubadilishia huko uwanjani St Mary’s. Chanzo cha habari hiyo …The post Mourinho amuita Pogba ‘kirusi’ wa Manchester United mbele ya wachezaji wenzake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E