🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 14-08-2018 09:00:02am Bongo5
Klabu ya Liverpool imeripoti kuwa mshambuliaji wake raia wa Misri, Mohamed Salah alishikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuendesha gari huku anatumia simu. Â Â Uongozi wa timu hiyo umetoa ripoti hiyo hapo jana siku ya Jumatatu kuwa Salah anashikiliwa na polisi kwakosa la kuendesha gari huku akiwa anachati na simu. Kipande cha video kimewekwa …The post Mohamed Salah matatani na jeshi la polisi, Liverpool yathibitisha appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E