🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 08-09-2018 09:00:01am Bongo5
Kiungo wa klabu ya Simba, Jonas MKude ameungana na Watanzania katika kuhakikisha wanaisapoti timu ya taifa ‘Taifa Stars’ ambayo inakibarua kizito cha kuibuka na pointi tatu muhimu dhidi ya Uganda ‘The Cranes’ hii leo. Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, Mkude ameandika kuwa kama Watanzania kwa pamoja tuungane kuwaombea wawakilishi wetu. ”Sisi ni Tanzania. …The post Mkude awaomba Watanzania kwa hili ‘Sisi ni Tanzania, sisi ni Taifa Stars, kwa pamoja tuungane’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E