Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mke wa Roma afunguka ‘nilikataa wazo la Rostam kumtumia Wema kwenye video Kaolewa’

Wednesday 03-10-2018 09:00:02am Bongo5


Jumanne hii mke wa Roma pamoja na mke wa Stamina waliingia mtaani kwaajili ya kufanya promotion ya wimbo ‘Kaolewa wa kundi la Rostam baada ya rapa hao wawili kupata safari ya kikazi kwenda Zanzibar. Akiizungumzia kazi hiyo Nancy ambaye ni mke wa Roma, amedai Rostam walitaka kumchukuwa Wema Sepetu kama video queen kwenye video ya …The post Mke wa Roma afunguka ‘nilikataa wazo la Rostam kumtumia Wema kwenye video Kaolewa’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E