🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 05-10-2018 09:00:02am Bongo5
Mke wa Rais wa Marekani Donald Trump, Melania, aliwasili Kenya Alhamisi jioni kwa awamu ya tatu ya ziara yake ya kwanza rasmi Afrika. Alilakiwa uwanja wa ndege na Mama wa taifa Margaret Kenyatta. Leo anatarajiwa kutembelea kituo cha wakfu wa kuhifadhi wanyama pori cha David Sheldrick kisha aelekee ikulu kwa mazungumzo. Baada ya hapo, atazuru Ukumbi wa …The post Mke wa Rais wa Marekani Melania Trump apokelewa Kenya kwa mapokezi ya aina yake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E