Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Misri wang’ara AFCON, mashabiki 75,000 wajitokeza ufunguzi (Video)

Saturday 22-06-2019 09:00:03am Bongo5


Wenyeji wa michuano ya Kombe la Taifa Bigwa Afrika, Misri waeanza kampeini yao ya kuwania taji hili maarufu la soka Afrika kwa kuilaza Zimbabwe bao 1-0 katika mechi ya ufunguzi iliyochezwa mjini Cairo. Mahmoud Trezeguet alifunga bao la kipekee la mchezo huo kabla ya muda wa mapumziko. Mashambuliaji wa Liverpool Mo Salah alikaribia kutia kimyani …The post Misri wang’ara AFCON, mashabiki 75,000 wajitokeza ufunguzi (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E