Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mgonjwa agunduliwa na meno bandia yaliokwama kwenye koo lake baada ya kufanyiwa upasuaji

Friday 16-08-2019 09:00:04am Bongo5


Mgonjwa mmoja amepatikana meno bandia yaliokwama kwenye koo lake siku nane baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Mtu huyo wa miaka 72 alilalamika kuwa na tatizo la kumeza chochote na kwamba anakohoa damu kabla ya madaktari kugundua amemeza meno bandia. Alirudi hospitali mara kadhaa, kufanyiwa upasuaji mwingine na hata kuongezewa damu ili kurekebisha hitilafu hiyo …The post Mgonjwa agunduliwa na meno bandia yaliokwama kwenye koo lake baada ya kufanyiwa upasuaji appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E