🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 19-07-2018 09:00:02am Swahili Times
Kwa wale ambao wamesafiri nchi za kusini mwa Afrika kama Zambia na Afrika Kusini watakuwa wamegundua kwamba mbali na tofauti ya mashairi, nyimbo za mataifa ya Afrika Kusini, Zambia na Tanzania zinafanana “tune”, au mapigo na mtiririko wa ala. Utunzi huo ambao hadi leo unatumika katika nyimbo za mataifa hayo ulifanywa Enoch Mankayi Sontonga, raia wa Afrika ya Kusini na mzaliwa Uitenhage katika Jimbo la Cape Mashariki. Sontonga alizaliwa mwaka 1873. Alitokea kabila la Xhosa na alipata mafunzo ya Ualimu na kuhitimu katika Chuo cha Lovedale. Baada ya kuhitimu alipata ajira kama mwalimu na mkufunzi wa kwaya kwenye shule ya wamisionari . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E