Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mfahamu ‘Christiano Ronaldo’ wa Atletico Madrid, asajiliwa kwa pauni Mil 113

Wednesday 10-07-2019 09:00:03am Bongo5


Joao Felix sasa ndiye mchezaji ghali zaidi mwenye umri mdogo duniani baada ya kujiunga na Atletico Madrid kutoka Benfica kwa dau la pauni milioni 113.   Pia ametajwa kuwa mchezaji mahiri zaidi kutoka Ureno na kulinganishwa na Cristiano Ronaldo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 alianza kuichezea Benfica mwanzoni mwa msimu wa 2018-19 lakini …The post Mfahamu ‘Christiano Ronaldo’ wa Atletico Madrid, asajiliwa kwa pauni Mil 113 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E