🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 06-09-2019 09:00:03am Bongo5
Mchungaji mmoja nchini Zambia aitwae, Brighton Samajomba, wa kanisa na ‘HEAVEN IS MY HOME’ amefariki dunia baada ya kufunga kula kwa siku 30. Mchungaji huyo mwenye imani kali, Amefarki dunia siku ya 20 baada ya kupatwa na Utapiamlo akiwa kwenye mfungo huo wa siku 30. Akihojiwa na mtandao wa Zambia Watchdog, Kaka wa Marehemu, Reagan …The post Mchungaji aliyefunga kula siku 30 afariki dunia, Ndugu zake wasema ataiona pepo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E