🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 02-09-2019 09:00:03am Bongo5
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari nchini Marekani vimeripoti kuwa Kevin alikuwa akijaribu kukwepana na gari jingine na hatimaye gari lake kuacha njia na kuangukia katika eneo la karibu na Maliba Hills California nchini Marekani. Hali ya kiafya ya mchekeshaji huyo ni nzuri na bado anaendelea kupatiwa matibabu. Kevin Hart ameripotiwa kuumizwa vibaya mara baada …The post Mchekeshaji Kevin Hart apata ajali mbaya ya gari, Chanzo chaelezwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E