🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 27-07-2018 09:00:02am Bongo5
Klabu ya Levante inayoshiriki ligi kuu ya nchini Hispania Laliga inahaha kuhakikisha inapata saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ili kuimarisha kikosi chao kwa maandalizi ya mashindano mbalimbali. Klabu hiyo kutoka nchini Hispania imetenga kitita cha euro milioni nne ili kumsajili Samatta lakini klabu yake anayo itumikia kwa sasa KRC Genk ya Ubelgiji imekataa ofa hiyo na kuhitaji euro milioni nane. …The post Mbwana Samatta kutimkia La Liga ya Hispania, aandaliwa dau nono appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E