Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mayweather ‘Money’ akana kutaka kuzipiga na dogo wa miaka 20 raia wa Japan ‘Sikuwa na makubaliano rasmi’

Thursday 08-11-2018 09:00:02am Bongo5


Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather amekanusha taarifa za kukubali kupigana na mwana ‘kickboxer’ wa Japan, Tenshin Nasukawa. Bingwa huyo wa Dunia, Mayweather ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram. Mayweather mwenye umri wa miaka 41, ambaye inasemekana alikuwa akitarajiwa kupigana na Tenshin mwenye umri wa miaka 20 Desemba 31 mwaka huu jijini Tokyo amekanusha …The post Mayweather ‘Money’ akana kutaka kuzipiga na dogo wa miaka 20 raia wa Japan ‘Sikuwa na makubaliano rasmi’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E