Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Mawaziri waonywa matumizi ya mitandao ya kijamii

Monday 03-12-2018 09:00:02pm Swahili Times


“Jana nimewaambia mawaziri wote tuliojiunga katika mitandao ya kihamii tuitumie vizuri, wewe kama kiongozi wa Serikali unatakiwa kusoma kilichoandikwa kwenye mtandao na kuona umuhimu wa kwenda kuchangia ama la.” Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwataka mawaziri na viongozi wengine wa Serikali kuhakikisha wanatumia vizuri na kwa manufaa mitandao ya kijamii ili kuepuka kujiingiza katika mambo ambayo jamii kwa ujumla haikubaliani nayo. Ameyasema hayo leo Jumatatu Desemba 3, 2018 wakati akifungua mafunzo ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa jijini Dodoma. Lengo la mafunzo hayo ni kuimarisha uwezo wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E