Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mataifa ya Marekani na Uingereza yawashiana moto, Viongozi wakuu waanza kurushiana maneno mitandaoni

Wednesday 10-07-2019 09:00:03am Bongo5


Donald Trump amemkosea heshima waziri mkuu wa Uingereza, waziri wa maswala ya kigeni wa Uingereza Jeremy Hunt amesema. Matamshi yake yanajiri baada ya rais Trump kuimuita balozi wa Uingereza nchini Marekani Kim Darroch ‘mjinga’ kufiatia mgogoro kuhusu barua pepe zilizofichuliwa. Kwa mujibu wa BBC. Aliendelea kumkosoa waziri mkuu Theresa May kuhusu Brexit , akisema kwamba …The post Mataifa ya Marekani na Uingereza yawashiana moto, Viongozi wakuu waanza kurushiana maneno mitandaoni appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E