Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mashine ya ‘ultra sound’ yaibiwa kwenye wodi ya wajawazito Hospitali ya Bariadi

Wednesday 14-08-2019 09:00:05pm Bongo5


Mashine inayotumika kupima magonjwa ya ndani na kutambua taarifa katika mwili wa binadamu (utra sound), imeibwa na kwenye wodi mpya ya wajawazito Hospitali ya Wilaya ya Bariadi. Mashine hiyo, kifaa chake cha kudurufu karatasi (printer) na nyaya zake zote vimeibwa mchana Agosti 5 mwaka huu na hadi sasa havijapatikana. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini …The post Mashine ya ‘ultra sound’ yaibiwa kwenye wodi ya wajawazito Hospitali ya Bariadi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E