🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 14-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Hii imekuwa ni wiki ya wachezaji kutundika daluga baada ya Gerrad Pique kutoka nchini Uhispania kuamua kutundika daluga ikafuata zamu ya Mhispania mwingine David Silva kutangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya taifa ya Uhispania leo imekuwa zamu ya Mcroatia huyu si mwingine bali ni Mario Mandžukić . Mandžukić ameandika waraka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa …The post Mario Mandžukić afuata nyayo za Wahispanyola Gerrad Pique pamoja na David Silva appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E