🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 10-05-2019 09:00:03pm Bongo5
Marekani imeikamata meli ya Korea Kaskazini ikiilaumu kwa kukiuka vikwazo vya kimataifa. Idara ya haki imesema kuwa meli hiyo ilitumika kusafirisha makaa ya mawe ambayo ndio biashara kubwa ya taifa hilo licha ya kupigwa marufuku na Umoja wa mataifa kuendelea kuyauza nje. Meli hiyo ilikuwa imekamatwa nchini Indonesia mnamo mwezi Aprili 2018.Ni mara ya kwanza …The post Marekani yaikamata meli ya Korea Kaskazini, yadaiwa kuhusika kusafirisha makaa ya mawe appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E