🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 14-12-2018 09:00:02am Bongo5
Klabu za Liverpool, Man United na Man City vipo katika nafasi kubwa kupangiwa na Mabingwa wa Hispania FC Barcelona kwenye hatua ya 16 bora ya klabu bingwa barani Ulaya. Katika hatua hiyo Barcelona haitakutana na klabu yoyote kutoka Hispania, wala na Spurs ambao wote walikuwa kundi B kwenye hatua ya makundi. Klabu nyingine ambazo zinaweza …The post Man United, Liverpool, Man City hati hati kuvaana na Barcelona hatua ya 16 bora ya UEFA appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E