🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 07-08-2018 09:00:02am Bongo5
Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba, amemuomba msamaha mwanadada Muna Love kutokana na maneno yake “Muna alinitukana sana, na mungu ametenda” kauli ambayo aliyatoa siku chache baada ya Muna kufiwa na mtoto wake. Mama huyo alidai aliitoa kauli hiyo kwa hasira kwani mwanadada huyo wakati yeye amefiwa na mtoto wake Kanumba alizungumza maneno machafu juu yake. …The post Mama Kanumba ampigia magoti Muna kufuatia kauli yake ‘Muna alinitukana sana, Mungu ametenda’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E