Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mahakama yakataa kutoa hati ya kukamatwa Tundu Lissu barani Ulaya, yatoa onyo kwa wadhamini wake

Monday 25-02-2019 09:00:02pm Bongo5


Leo Jumatatu Februari 25, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imekataa kutoa hati ya kumkamata Mwanasheria na Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Mhe. Tundu Lissu, kutokana na wadhamini wake kufika mahakamani hapo na kueleza hali halisi ya matatizo yake. Tundu Lissu Uamuzi huo umeafikiwa mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas …The post Mahakama yakataa kutoa hati ya kukamatwa Tundu Lissu barani Ulaya, yatoa onyo kwa wadhamini wake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E