🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 08-05-2019 09:00:04pm Bongo5
Hatimaye wakazi wa Moshi na maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro leo Mei 8, 2019 wamejitokeza kwa wingi kuupokea mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa IPP Limited, Dkt. Reginald Mengi. Mapokezi hayo yamehudhuriwa na maelfu ya waombolezaji waliokuwa wamekaa barabarani kuupokea nwili huo ulioagwa jana Jijini Dar Es Salaam. Kwa mujibu wa maelezo ya …The post Maelfu ya watu waupokea mwili wa Dkt. Mengi Kilimanjaro, haijawahi kutokea mapokezi kama hayo (+Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E