🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 08-01-2019 09:00:03am Bongo5
Klabu ya Liverpool kutoka nchini Uingereza imeanza kutetereka baada ya kufungwa na klabu ya Wolverhampton Wanderers katika michuano ya FA ambayo ni michuano ya pili kwa ukubwa hapo nchini kwao. Kufungwa huko kwa Liverpool kumeifanya kutolewa katika michuano hiyo kwa kipigo cha jumla ya goli 2-1 licha ya kuwa ugenini. Ikumbukwe kwamba Liverpool sasa hivi inashiriki katika michuano miwili tu …The post Liverpool yatolewa michuano ya FA, Man United uso kwa uso na Arsenal raundi ya nne appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E