🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 15-06-2019 09:00:02am Bongo5
Wasanii wamuziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki iliyo chini ya Alikiba Kings Music wameachia video ya wimbo wao mpya unaojulikana kwa jina la Rhumba ambao wameuachia huku kwenye video hiyo boss wao Alikiba hakuonekana ingawa sauti imesikika tu mwanzoni mwa wimbo huo. Video hiyo iliyofanywa Kwetu studio iliyochini ya Khalifan na Audio …The post Kundi la muziki la kings music laachia video ya wimbo wao, Alikiba awakacha kwa mara nyingine – Video appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E