Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kocha wa Liverpool, Jürgen Klopp ajibu alivyojipanga kumdhibiti Messi ‘wengi wameshindwa, nitajaribu’

Thursday 18-04-2019 09:00:02am Bongo5


Kocha wa klabu ya Liverpool, Jürgen Klopp amejibu namna alivyojipanga kumkabili mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kwenye mchezo wa nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya. Jurgen Klopp na Lionel Messi Klopp akiongea na waandishi wa habari jana usiku nchini Ureno baada ya mchezo kati Liverpool na FC Porto, amesema kwanza anamshukuru Mungu kutinga nusu …The post Kocha wa Liverpool, Jürgen Klopp ajibu alivyojipanga kumdhibiti Messi ‘wengi wameshindwa, nitajaribu’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E