Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kocha mpya wa Man United Ole Gunnar, amefunguka mengi kuhusu malengo yake katika klabu hiyo

Friday 21-12-2018 09:00:02am Bongo5


Kocha mpya wa Manchester United raia wa Norway pia aliyewahi kuitumikia klabu hiyo akiwa kama mchezaji amefunguka mambo mengi sana kuhusu klabu hiyo. Katika Interview aliyoifanya Ole Gunnar amesema kuwa ” Anataka wachezaji wake waufurahie mpira tena” Akiongea katika mahojiano yake ya kwanza na MUtv baada ya kujiunga United akitokea timu ya Norway ya Molde …The post Kocha mpya wa Man United Ole Gunnar, amefunguka mengi kuhusu malengo yake katika klabu hiyo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E