🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 26-02-2019 09:00:03pm Bongo5
Kardinali, George Pell wa kanisa katoliki nchini Australia amekutwa na hatia za unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto, baada ya kufunguliwa  mashtaka mwezi Desemba mwaka jana. Kadinali Pell (77), anadaiwa  kuwafanyia unyanyasaji watoto wawili mwaka 1996, huku akikana kuhusika na tuhuma hizo. Mbali na unyanyasaji, makosa mengine ni ya kumuingilia kimwili mtoto aliye chini ya …The post Kiongozi mkubwa wa Kanisa Katoliki akutwa na hatia ya unyanyasaji watoto kingono appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E