🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 17-09-2018 09:00:02am Bongo5
Takriban watu thelathini wameuawa baada ya kimbunga Mangkhut kupiga kaskazini mwa Ufilipino.Wengi kati yao walikumbwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa.Maeneo mengi ya kisiwa cha Luzon yamejaa maji, yakiwemo mashamba ambayo huzalisha mazao makuu nchini humo ya mpunga na mahindi. Katika eneo hilo kunaelezwa kuwa kuna familia takriban elfu ishirini na sita na mia tatu …The post Kimbuga kingine chaibuka Ufilipino na Hong Kong chasababisha vifo vya watu zaidi ya 30 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E