🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 23-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda Moshi imewahukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa washtakiwa watano waliotekeleza mauji ya kukusudia ya mfanyabiashara wa Arusha, Mirerani, bilionea Erasto Msuya. Washtakiwa hao waliohukumiwa adhabu hiyo ni Sharifu Mohamed, Karim Kuhundwa, Sadick Mohamed, Ally Majeshi na Mussa Mangu. Hukumu hiyo imetolewa leo Julai 23, 2018 na Jaji Salma Maghimbi huku …The post Kifo cha bilionea Erasto Msuya: Watu 5 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E