Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Khadija Kopa alizwa na Wasanii wa Bongo Fleva, aiomba jambo Serikali ‘wenzetu wakifa mnawapa uzito’ (+video)

Friday 01-02-2019 09:00:04am Bongo5


Msanii wa muziki wa Taarabu nchini Tanzania, Khadija Kopa amedai kuwa Wasanii wa Bongo Fleva hawana ushirikiano na Wasanii wa Taarabu jambo ambalo linaleta matabaka kwenye tasnia ya muziki. Akiongea kwenye mkutano wa Wasanii na RC Paul Makonda jana Januari 31, 2019, Khadija Kopa amesema kuwa Wasanii wa Bongo Fleva wanajiona ni bora zaidi kuliko …The post Khadija Kopa alizwa na Wasanii wa Bongo Fleva, aiomba jambo Serikali ‘wenzetu wakifa mnawapa uzito’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E