Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Kesi yafunguliwa Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Rais Dkt Magufuli

Friday 14-12-2018 09:00:02am Swahili Times


Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania akipinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Lugango Kilangi. Katika kesi hiyo, Ado Shaibu anawakilishwa na Wakili Fatma Karume ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Ado Shaibu amemweleza Wakili wake kuwa kuwa wadaiwa katika kesi hiyo ni ndugu John Pombe Magufuli na ndugu Adelardus Lugango Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali aunganishwe. Mlalamikaji katika kesi hiyo amesema kuwa tangu Dkt Kilangi ateuliwe na Rais kushika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali mwezi Februari 2018, kumekuwepo na madai kwamba hajatimiza masharti ya . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E