Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Kauli ya TCAA kuhusu Fastjet kutaka kuingiza ndege mpya nchini

Saturday 22-12-2018 09:00:02pm Swahili Times


Dar es Salaam: Siku chache baada ya mmiliki wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania, Lawrence Masha kuweka wazi kuwa ana mapango wa kingiza ndege za abiria kwa ajili ya shirika hilo ambalo kwa sasa limesitisha safari zake, serikali imeibuka na kusema kuwa haina taaarifa kuhusu Fastjet kutaka kuingiza ndege nchini. Akizungumza mapema mwanzoni mwa wiki hii, Masha ambaye anamiliki asilimia 68 za Fastjet Tanzania alisema kuwa anafahamu kuwa shirika hilo kwa sasa halina ndege inayofanya kazi, na hivyo kusababisha usumbufu kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekata tiketi kusafiri msimu huu wa sikukuu, lakini wapo kwenye mpango wa kuingiza ndege mpya, ambapo alisema . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E