đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 16-11-2018 09:00:02pm Swahili Times
Serikali imesema kuku wa kisasa ambao hutumiwa kwa ajili ya kitoweo/nyama (Broilers) hawana madhara kiafya kwa binadamu kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakisema. Hayo yamesemwa leo Novemba 16, 2018 bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega wakati akijibu swali la mmoja wa wabunge lililoelekezwa katika wizara hiyo. Naibu Waziri Ulega amesema kuwa, dawa na vyakula ambavyo vinatumika kwa kuku hao kwa ajili ya kuwakuza vimekuwa vikifanyiwa utafiti, na vimebainika kuwa na ubora unaostahili. Baadhi ya wabunge walionesha hofu yao kuhusiana dawa na vyakula wanavyokula kuku hao, kuwa vimekuwa vikileta mabadiliko hasi kwa . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E